Mafunzo DPOs JULY 2024

Nov. 22, 2024, 12:18 p.m.   Arusha, Tanzania
Mafunzo DPOs  JULY 2024

Asanteni Maafisa wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi - DPOs kutoka Taasisi zilizo chini ya Chama cha Mabenki Tanzania - TBA na Chama cha Watoa Huduma za Mitandao ya Simu Tanzania - TAMNOA kwa kushiriki mafunzo ya siku nne kuhusu ulinzi wa Taarifa Binafsi.