KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI
Event 24 March 2026 3 min read

KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI

Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ametembelea Ofisi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliyopo jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia akimkabidhi zawadi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki. Leo tarehe 15 Desemba, 2025 mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja kwenye Ofisi ya PDPC iliyopo Mtaa wa Moshi, jijini Dodoma.