KIKAO CHA 10 CHA BODI YA WAKURUGENZI PDPC
Event 15 August 2026 3 min read

KIKAO CHA 10 CHA BODI YA WAKURUGENZI PDPC

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Mhe. Balozi Adadi Rajabu ameongoza Kikao cha Kumi cha Bodi hiyo ambacho kimepokea na kujadili utendaji kazi wa PDPC kwa kipindi cha mwezi Aprili hadi Juni, 2026.

Kikao hicho kimefanyika tarehe 15 Agosti 2026 katika ofisi za PDPC zilizopo Mtaa wa Moshi, jijini Dodoma.