MAFUNZO MAALUM KUHUSU ULINZI WA TAARIFA BINAFSI - AWAMU YA NANE
Hii ni fursa muhimu kwa DPO wote na wafanyakazi wengine wanaohusika na ulinzi wa taarifa binafsi kutoka taasisi za umma na binafsi kuongeza uwezo ili kutekeleza kwa ufanisi Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Kanuni zake.
Mafunzo haya ni muhimu kwa kuhakikisha uzingatiaji, kuimarisha usalama wa Taarifa Binafsi na kulinda haki za faragha.
ππ¬π’π€π¨π¬πβhakikisha wafanyakazi na wakuu wa taasisi yako wameandaliwa kwa ajili ya Ulinzi bora wa Taarifa Binafsi.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa: events@pdpc.go.tz au tupigie kupitia +255753459155, +255718462536, +255744057652, +255615779070, +255695507751 au +255736110505.
Jisajili kwa Tukio Hili
Fee: TZS 450,000/=
Jisajili Sasa >