Sehemu hii inatoa Kamusi ya Ulinzi wa taarifa yenye ufafanuzi na maelezo ya kina ya maneno muhimu, dhana na misamiati wa kisheria inayotumika katika Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Kamusi hii itasasishwa mara kwa mara.
KAMUSI YA ISTILAHI ZA ULINZI WA TAARIFA
Kamusi ya Istilahi za Ulinzi wa Taarifa