TAARIFA ZA VINASABA

Taarifa za Vinasaba

Taarifa za vinasaba maana yake ni taarifa binafsi yoyote inayotokana na uchambuzi wa tindikali ya vinasaba.