MTU MWINGINE

Mtu mwingine

Mtu mwingine maana yake ni mtu, taasisi nafsi au taasisi ya umma tofauti na-
(a) Mhusika wa taarifa;
(b) Mkusanyaji au mchakataji; na
(c) Mtu yeyote aliyepewa mamlaka ya kuchakata taarifa binafsi