Afisa ulinzi wa taarifa binafsi maana yake ni mtu aliyeteuliwa na mkusanyaji au mchakataji na kupewa jukumu la kuhakikisha utekelezaji wa majukumu yaliyoainishwa katika Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi
AFISA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
Afisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi