Nyaraka maana yake ni njia yoyote ambayo imerekodiwa, imechapishwa au ipo kwenye
mkanda au filamu au kwa njia ya kielektroniki vinginevyo na inajumuisha ramani, mchoro, filamu, filamu ndogo, mkanda wa video, sauti au rekodi inayosomeka kwa mashine za kurekodi yenye uwezo wa kuzalishwa kutoka rekodi inayosomeka kwa mashine kwa njia au programu, au mchanganyiko wa vinavyotumiwa na mkusanyaji kwa madhumuni kutunza kumbukumbu.