Sehemu hii inatoa taarifa kuhusu matukio na shughuli mbalimbali zinazoandaliwa au kushirikishwa na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ikiwemo mikutano, makongamano, mafunzo, semina na kampeni za uelimishaji kwa umma.
Pia, utapata taarifa za matukio yajayo, tarehe, maeneo na namna ya kushiriki.