Habari za Hivi Karibuni

News

Pata habari za utekelezaji wa hifadhi ya data, sheria na matukio kutoka Tume.

Event

π–π€πŠπ€π™πˆ 𝐖𝐀 πƒπŽπƒπŽπŒπ€ π–π€πŠπŽπ’π‡π–π€ 𝐍𝐀 𝐏𝐃𝐏𝐂, πŒπ€πŽππ„π’π‡πŽ π˜π€ π–πˆπŠπˆ π˜π€ π”π“π”πŒπˆπ’π‡πˆ 𝐖𝐀 π”πŒπŒπ€ - πŸπŸŽπŸπŸ”

20 Juni 2026 3 min read Soma β†’
Event

KONGAMANO LA KWANZA LA FARAGHA NA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI TANZANIA LAFUNGULIWA RASMI

29 Juni 2026 3 min read Soma β†’
Legislation

PDPC NA OUT WAZINDUA PROGRAMU MAALUM YA MAAFISA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI WALIOTHIBITISHWA

Viongozi wa taasisi zote muwawezesha DPOs wenu kushiriki programu hii. Hii ndiyo njia ya kuimarisha utawala bora na kujenga imani ya wananchi katika …

13 Jul 2026 3 min read Soma β†’
Awareness

WATUMISHI PDPC WAPEWA ELIMU YA LISHE NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

'Ni muhimu kufuata kanuni za ulaji ulio bora ili kuepuka uzito uliokithiri utakaosababisha kupata magonjwa yasiyoambukiza'

30 Apr 2026 3 min read Soma β†’
Awareness

ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI YAWAFIKIA KANISA KATOLIKI

29 Apr 2026 3 min read Soma β†’
Awareness

DPOs WAIPONGEZA PDPC KWA KUWAJENGEA UWEZO KATIKA ULINZI WA TAARIFA

Washiriki wa mafunzo maalum ya Maafisa Ulinzi wa Taarifa (DPOs) wameipongeza Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kwa kuandaa na kutoa mafunzo ma…

24 Machi 2026 3 min read Soma β†’
Awareness

𝐓𝐀𝐁 π–π€πˆπ’π‡π”πŠπ”π‘π” 𝐏𝐃𝐏𝐂 πŠπ”π–π€ππ€π“πˆπ€ π„π‹πˆπŒπ” π˜π€ 𝐃𝐇𝐀𝐍𝐀 π˜π€ π”π‹πˆππ™πˆ 𝐖𝐀 π“π€π€π‘πˆπ…π€ ππˆππ€π…π’πˆ

Jumuiya ya Watu Wasioona Tanzania (TAB) leo tarehe 11 Machi, 2026 wamepatiwa mafunzo elekezi juu ya dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ikiwa ni sehem…

24 Machi 2026 3 min read Soma β†’
Announcement

PDPC NA NHIF KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA KULINDA FARAGHA NA TAARIFA BINAFSI ZA WANACHAMA

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bim…

24 Machi 2026 3 min read Soma β†’
Event

KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI

Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ametembelea Ofisi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) il…

24 Machi 2026 3 min read Soma β†’