Huduma
MALALAMIKO
Mtu yeyote atakayebaini ukiukwaji wa misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi au kutoridhishwa na uamuzi wa mkusanyaji au mchakataji kuhusiana na taarifa binafsi anaweza kuwasilisha malalamiko Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Tafuta PDPC Tanzania